Personal trainer

Job description

Nafundisha mazoezi Kwa watu wote ukiwa popote ninamaanisha ukiwa nyumba,ofisini,gym,viwanja vya michezo nk bei ni melewano kutegemea na umbali iliopo

Application deadline

2025-02-28